Nifanye nini ili kusajiliwa na NHIF?

JIBU: Utatakiwa kujaza fomu na kuweka viambatanisho kulingana na aina ya uanachama unayotaka kujisajili. Fomu zinapatikana kwenye ofisi za NHIF ua kwenye tovuti hii. Unashauriwa kuwasiliana na kituo cha huduma kwa wateja simu namba 0800 110063 ili kupata maelekezo zaidi.