"BIMA YA AFYA KWA WOTE" BILIONI 149 ZATENGWA NA SERIKALI

Aug 29, 2021

Bofya hapa

Serikali kupitia Msemaji wake imeeleza kuanza kutekeleza Sheria ya bima ya Afya kwa wote, ambapo imetenga Fedha Shilingi Bilioni 149 kwa ajili ya mpango huo.

Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa ametoa kauli hiyo mjini Dodoma katika mkutano wa Sita uliowakutanisha Wahariri wa vyombo vya habari na mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.

Amesema Mpango huo utatekelezwa Baada ya muswada wake Kufikishwa bungeni mwezi Septemba mwaka huu ili kuwa Sheria rasmi na kuanza