TAARIFA KWA UMMA - KUWEPO KWA TAARIFA ZA MAKATO YA MADAI YA WATOA HUDUMA MWANZA

TAARIFA KWA UMMA - KUWEPO KWA TAARIFA ZA MAKATO YA MADAI YA WATOA HUDUMA MWANZA Nov 29, 2020

Watoa huduma wamekumbushwa kuzingatia miongozo na mkataba kati yao na mfuko. Kikao kitaitishwa ili kulipatia ufumbuzi suala hili.