
Wahariri wa vyombo vya habari nchini leo wametembelea na kupongeza uwekezaji mkubwa wa majengo, vifaa tiba na samani ulifanywa na Serekali kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wenye thamani ya Sh. Bilioni 129 kwenye Hospitali ya Kanda ya Rufaa ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma.